Rudi Kwenye Sekenke Web | Ona Kitabu Cha Wageni | Tuma Maneno Yako
We have 19 entries displayed on 2 pages.
1 2
|
Next >
|
Last >>
| Imetumwa na | Maneno: | ||
| Name: Abdulsalaam |
Asalam Alaikum, Mtume Muhammad SAW Amezaliwa Maka. Shukran.
|
||
| Imetumwa na | Maneno: | ||
| Name: absa4u From: dubai E-mail: absa4u@gmail.com |
samahani naomba kuuliza maswali 1.mtume mahamed SAW amezaliwa katika mji gani pale makka? 2. mke wangu ameota ana mimba je ndoto hio ina maana gani? 3. je nataka kujiunga na website yenu je nifanyeje? :clap:
|
||
| Imetumwa na | Maneno: | ||
| Name: GEORGE From: KIGAMBONI-DARESALAM |
Hongereni sana website yenu ni nzuri sana na muendelee hivyohivyo kwa ubunifu ila ongezeni juhudi zaidi katika kuyaweka magazeti. Hongereni sana.
|
||
| Imetumwa na | Maneno: | ||
| Name: Suleiman nasser |
Asanteni kwa website hii nzuri. Jazakumullahu Khairan.
|
||
| Imetumwa na | Maneno: | ||
| Name: Ibrahim From: Kenya Website: http://sekenke.com |
Asalam Alaikum na Eid Mubaarak kwa waislamu wote, Napenda kuwakumbusha waislamu wote kutoa Zaka ya Eid Fitri
|
||
| Imetumwa na | Maneno: | ||
| Name: rashid43 |
Malaika Jibriil akasema: Maana yake, “Mimi napenda katika dunia yenu mambo) matatu: Kuwaongoza (watu) waliopotea (katika dini), na kuwafaraji wageni wachaMungu, na kuwasaidia wenye familia yenye dhiki. Na anapenda Mola Mtukufu kutoka kwa waja Wake (mambo) matatu: Kupitisha ukomo wa jitihadi, na kulia wakati wa kujuta, na subira juu ya umasikini.”
|
||
| Imetumwa na | Maneno: | ||
| Name: Rahma From: Oman E-mail: hinai77@yahoo.com |
Asalam aleykum warahmatu Lahi Wabarakatu, ndugu zangu waislam kaka zangu kwa iman, napenda kukushukrun sana kwa web site hii inayo tufaa na kutuelimisha tusio ya jua, Jazakum Lahu Kheir,
|
||
| Imetumwa na | Maneno: | ||
| Name: Mahmoud From: Oman Website: http://dua.sekenke.com E-mail: mahmoud.asmi@omantel.om |
Asalam Alaikum, Dear Visitors of sekenke.com, I would like to invate you to this site islam.sekenke.com Have nice time. Best Regards.
|
||
| Imetumwa na | Maneno: | ||
| Name: Jokar From: US Website: http://www.uislamu.org E-mail: jokar1234@yahoo.com |
Natoa salamu kwa wanachama wote wa sekenke Web. Eid Mubaarak kwa Wote.
|
||
| Imetumwa na | Maneno: | ||
| Name: Kikwete From: TZ |
Natoa Salam Zangu Kwa Wanachama Wote Wa Sekenke Web.
|
Powered by PHP guestbook 1.5 from PHPJunkyard - Free PHP scripts