Kesho(1/4/2013) ni SIKU YA WAJINGA DUNIANI kwa kiingereza inaitwa APRIL FOOL! Ni siku ambayo watu huitumia kwa kusema UONGO siku nzima kama kupeana taarifa za msiba, ajali, ahadi na nyinginezo za uongo! Mwenyezi Mungu ameharamisha kusema UONGO hivyo haimjuzii Muislamu kuamini kuwa kuna siku maalumu inapatikana ruhusa ya kusema UONGO! Tujihadhari na mbinu zinazotumiwa na makafiri katika KUTUONDOA KTK TAWHEED!
Alama za walioridhika
Mhadhara wa Sheikh Rashid shukery leo jumapili 31 march 2013 baada magharibi, mabela masjid Al-Anwar.
julisha wenzako.
Subira
Alama za watu wa peponi
Utamu wa Ibada
Asalam Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Mhadhara by Ustadh: Rashid Shukery leo jumamosi 23 March 2013 mawaleh masjid abi bilal baada maghrib julisha Waislamu wengine.
Shukran.
Leo ni leo!
Leo ni leo, msema kesho muongo.
“Kupigana na Nafsi!! ni LEO.
Kesho ni kubahatisha.
Mema yatende LEO
Usiseme kesho itafika.!
Mola kakupa LEO Kesho bado kaificha
Udumu kutenda LEO Kesho huna uhakika.
Tufanye mema kwa LEO
maisha ni kubahatisha
Inuka uswali LEO
kesho haija fika.
Wakumbushe wengine LEO pengine kesho hutofika.
LEO NI LEO KESHO KITENDAWILI
Swala na umuhimu wake
Mauti yatosha kuwa mawaidha
Hakika Mauti yatosha kuwa mawaidha.
Jiite jina zuri mwisho utaitwa “MAREHEMU” ishi katika nyumba nzuri nyumba ya mwisho ni “KABURI” panda vyombo vya kifahari mwisho utapakiwa kwenye “JENEZA” vaa nguo za ghali mwisho utavishwa “SANDA” safiri utakako tambua safari ya mwisho ni “MAUTI”. TANBIHI: TAFADHALI SANA TUMA UJUMBE HUU KADRI YA UWEZO WAK0 KAMA HUNA UWEZ0 JAPO UMUONYESHE/ UMSOMEE MTU.” kwani utakua umetoa da’awa Utaikuta mbele ya ALLAH ni kubwa Mara dufu…. Leo unaoga mwenyewe.!!!.. Kesho utaogeshwa…..Leo unaswali mwenyewe.!!! Kesho Utaswaliwa….. Umejiandaa vipi? na kulala katika tumbo la ardhi?……… Umejiandaa vipi? na kukabili na maswali ya Munkar na Nakir Malaika wa Kaburini, Au Umejisahau na mapambo ya dunia?… Inshaallah Wakumbushe Waislam 15 Ili tupate wepes wa kufanya ibada